How come you're advertising that you broadcast yankee games but are not? It's very frustrating!!!!!
Abr. 6, 2014, 11:52 a.m. GMT
Invitado
ongeleni kwa matangazo yenu mazuri na yenye kulekebisha na kufundisha pamoja na kuelimisha jamii,
naitwa DRAY au kwa jina la pili smhn km nitakuwa nimeenda kinyume na maadili yenu ila nilikuwa na ombi moja kwa uongozi wa kituo hicho na km itawezekana nitaomba kuomba kazi ktk kituo hicho lkn mm ni
Ver más ...
mtu wa simulizi zenye kusisimua na kufundisha ivo km ntakuwa nimekubaliwa nadhani itakuwa ni moja ya burudani na mafundisho kwa wanajamii wote wanaoisikiliza afya redio.najua sio rahisi kuliweka akilini hili lkn naomba mliangalie kwa umakini maana naamin kituo hiki kipo kwa ajili ya kuielimisha jamii namm pia hilo ndo lengo langu.nashukuru sana ikiwa nitakubaliwa kwa mawasiliano zaidi 0762589229
Jul. 9, 2013, 5:46 p.m. GMT
Invitado
mpo juu mnatisha kama njaa
Abr. 9, 2013, 8:42 a.m. GMT
Invitado
Listen radio
Mar. 29, 2013, 7:12 a.m. GMT
Invitado
Radio yenu ni nzuri inaelimisha watu kwa kiwango kikubwa sanqa,lakini kwenye mtandao inapatikana kwa tabu sana,kuna shida gani? mbona radio station zingine zinapatikana vizuri tu?
Mar. 28, 2013, 6:46 a.m. GMT
Invitado
You have to grow very fast to improve the wide range for getting more investers advatising rights.
Aún no hemos recibido comentarios. ¡Sea el primero en publicar uno!
This website uses cookies for analytics and personalization. Click here to learn more or change your cookie settings. By continuing to browse, you agree to our use of cookies.